Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge)akiwapungia mkono
wanafuzi wa Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) , Lindi
kabla ya kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana
mkoani Lindi.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi
na wa pili Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila na
kushoto wa kwanza ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro
Hamidi.(Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo).
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge) akipata maelekezo kutoka
kwa mwanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi (VETA),
Edwin Nduguru(kushoto) jinsi deep stick inavyofanya kazi ya kupima
kiwango cha oil kilichopo katika injini ya gari alipotembelea karakana
ya ufundi wa magari wa chuo hicho jana. Wanaoshuhudia tukio hilo ni
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi (kulia) , Mkuu wa Mkoa
wa Lindi, Ludovick Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi,
Dk. Nassoro Hamidi (kushoto).
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge ) akiongea jambo na
Meneja wa British Gesi Tanzania ambao ndiyo wafadhili wa mradi wa
mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli, Kate Sullam (kushoto) jana
kwenye Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) , Lindi
.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi .
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua mradi
wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana kwenye Chuo cha Mafunzo
ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) Lindi . Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,
Ludovick Mwananzila.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara
kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana kwenye Chuo
cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) Lindi . Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi na Kushoto wa tatu
ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila, kushoto ni Afisa
Uhusiano wa chuo hicho Dora Tesha.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge)akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi na wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya
Elimu ya Ufundi Stadi(VETA), Lindi mara baada ya kuzindua mradi wa
mafunzo ya gesi na mafuta ya petroli.
Mwanafunzi wa wa Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi(VETA),
Lindi akimwonesha Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge)
jana kifaa cha kukata vyuma katika karakana ya uungaji vyuma. Mwanafunzi
wa wa Chuo cha Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi (VETA), Lindi
akimwonesha Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (aliyevaa kitenge) jana
kifaa cha ufundi wa magari katika karakana ya ufundi wa magari.
No comments:
Post a Comment