Sunday, October 13, 2013

RAIS KIKWETE AONDOKA ADDIS ABABA BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA SIKU MOJA CHA VIONGOZI WA UMOJA WA AFRIKA

ad1Rais ad5: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole  baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia  Oktoba 12, 201
PICHA NA IKULU
ad2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole  baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia  Oktoba 12, 201
ad3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika Mhe. Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 201ad4Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa Mwandamizi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Bw. Nsavike Ndatta baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 201ad5Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz  baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 201

No comments:

Post a Comment